HUU NI MFANO WA CHUO CHA SUA BAADA YA NOMINATION
Select a College/University... Institute of Social Work Institute of Finance Management College of Business Education DAR (CBE-D) Mzumbe University Mkwawa...
BAADA YA NOMINATION ZA GRANDMALT KUISHA KESHO MPANGO MZIMA UTAKUWA KAMA HIVI
May 31, 2012
BAADA YA MTAJI, SASA DOGO ASLAY ANAMJENGEA MAMA NYUMBA
May 31, 2012

Dogo Asley November mwaka jana alimpa mama yake mtaji wa laki tano kwa ajili ya kufanya biashara, leo ametangaza good news nyingine kuhusu kuwasaidia wazazi wake ambao maisha yao yamebadilika kwa kiasi kikubwa baada ya kupewa mitaji ambayo wameweza kuiendeleza vizuri mpaka sasa.
Alichokitangaza leo Dogo Aslay mwenye umri wa miaka 16 ambae...
DIAMOND ASEMA ALICHOKIPATA BAADA YA KUPERFORM BIG BROTHER AFRICA
May 31, 2012

Siku nne baada ya kuperform kwenye shindano la Big Brother Afrika, staa wa muziki Tanzania ambae ndio anaongoza kwa kupiga showz nyingi na zenye hela ndefu, Diamond Platnums amesema baada ya performance yake kuonekana tayari tayari milango mingine ya mafanikio imefunguka
Amesema ;nimepata vitu vingi, imenitengenezea mwanya wa kukubalika...
WASAMARIA WEMA TWAOMBWA KUMNUSURU MTOTO HUYU ANAYETAABIKA KWA KUWA NA MATUNDU MATATU KWENYE MOYO
May 31, 2012

Pichani mtoto Neema George aliyegundulika kuwa na matundu matatu kwenye moyo.
Mtoto Neema George (16) amewaomba wasamaria wema wajitokeze kumchangia fedha ili akapate matibabu ya moyo nchini India.
Hali ya Neema George inazidi kuzorota siku baada ya siku, miguu ikiwa imevimba, akitaabika katika suala la kula, kuongea na akipata...
TAIFA STARS WAONDOKA JIJINI DAR ALFAJIRI YA LEO
May 31, 2012
Wachezaji wa Kilimanjaro Taifa Stars wakiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) alfajiri ya leo kuelekea jijini Abidjan kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Ivory Coast ya kutafuta tiketi ya kucheza Kombe la Dunia. Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Jumamosi Juni 2
...
SHUKRANI TOKA TAWI LA CHADEMA WASHINGTON DC. USA
May 31, 2012
Kwa niaba ya uongozi wa tawi la CHADEMA Washington DC. napenda kuchukua fursa hii kutoa shukrani zangu za dhati kwa watu wote walio hudhuria ufunguzi wa tawi la CHADEMA uliofanyika Tarehe 27 May 2012 Washington DC nchini Marekani katika ukumbi wa Mirage Maryland.Aidha nawashukuru wageni waalikwa, Naibu katibu mkuu wa CHADEMA na Mbunge...
PHILIPO ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA CHU KIKUU BUGANDO
May 30, 2012

Aliyekuwa raisi wa chuo kikuu bugando philipo katika picha hapo juu ameamua kuchukua fom ya kugombea uraisi wa chuo kwa mara ya pili ,kati...
HOSPITALI YA TUMBI YAANZA KUPOKEA MSAADA WA MASHUKA
May 30, 2012

PICHANI: Afisa Uhusiano wa Maxinsure akiongea na waandishi wa habari walipoenda kukabidhi misaada katika hospitali ya Tumbi, kushoto kwake ni Mganga mkuu wa Hospitali ya Tumbi Dk. Issac Lwari.
Afisa Uhusiano wa Maxinsure akionyesha mashuka alioyakabithi katika hosptali ya Tumbi hivi karibuni.
Meneja Madai wa Kampuni ya Maxinsure...
Charles Taylor asukumwa jela miaka 50
May 30, 2012
Rais wa zamani nchini Liberia Charles Taylor amehukumiwa miaka 50m jela na makahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita. Mwezi jana Taylor alipatikana na makosa ya kuwaunga mkono waasi nchini Sierra Leone katika vita vya wenyewe kwa wenyew...
KAMA ULIJUA BADO KASSIM MGANGA HAPATANI NA TIP TOP, HII STORI INAKUHUSU
May 29, 2012
Pamoja na kwamba picha mitaani bado inaonekana mwimbaji Kassim Mganga hayuko kwenye uhusiano mzuri hata wa kirafiki na kundi lake la zamani la Tip Top Connection kwa sababu hajawahi kuonekana nao pamoja kwenye showz, Night Clubs hata kwenye mazingira mengine kama wanavyofanya wengine waliojiondoa kwenye kundi hilo, nimefurahi kuona...
BAADA YA KUBWAGANA NA DIAMOND SASAWEMA AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA MWINYI WA MACHOZI BAND
May 29, 2012
Wema akikaribishwa kuja kuvishwa pete na Mwinyi ambae amecheza kama Diamond Platnums.
Mwigizaji Wema Sepetu bado anaendelea kuishoot movie yake ya kwanza iitwayo SUPER STAR ambayo inahusiana na maisha yake kwa asilimia kubwa sana, ikiwa ni movie ambayo itaonyesha vitu vingi alivyovipitia kwenye umaarufu wakeUsiku wa May 29 kuamkia may...
SPECIAL OFFER FOR OUR USER
May 29, 2012
Kuanzia tarehe 30/05/2012 hadi tarehe 15/06/2012 tunakupa offa ya kukutangazia biashara yoyote au bidhaa yoyote ile bureeeeeee /= hii ni kutokana na kuadhimisha mwaka mmoja wa blog hii .wasiliana nasi kwa namba 0759212578 au sadru12@gmail.c...
Cynthia Nixon ties the knot
May 29, 2012
Cynthia Nixon has married her long-term partner.The actress and Christine Marinoni tied the knot in New York City yesterday, three years after getting engaged. Cynthia and Christine have been together since 2004 and became betrothed at a rally to support same-sex nuptials in 2009.Their big day comes less than a year after gay marriage...
ITS A INTERNET DEAL
May 29, 2012

Add caption
UNLIMITED INTERNET 30000/ USE IT FOREVER
MORE INFO CALL US NOW 0759212578 TO GET ...
NILIZOZIONA FACEBOOK
May 29, 2012

Ukiletewa spinach usikatae kupokea
shangaa feli
chezea katambuga weweeemwisho wa siku NECTA itadetermine
...
Mbio za Mwenge wa Uhuru Mkoani Ruvuma zaendelea
May 29, 2012
Afisa Tawala wa Wilaya ya Nyasa,Hapiness Msanga (kushoto) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma,Idd Mponda kwa ajili ya kukimbizwa katika wilaya hiyo
Wakimbiza mwenge wa uhuru wakicheza baada ya kumaliza mbio za mwenge katika Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma katika viwanja vya michezo vya Mbambabay.kushoto...
SPRITE YADHAMINI KLINIKI YA KIKAPU JIJINI DAR
May 29, 2012
Mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu na anyechezea ligi ya NBA ya Marekani , Hasheem Thabeet akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu kliniki ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Sprite itakayofanyika katika viwanja vya Don Bosco, Upanga Dar es Salaam kuanzia Ijumaa Juni Mosi 2012.
Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho...
FACEBOOK YAPELEKEA KUPOTEA KWA MWANAFUNZI WA SAUT
May 29, 2012
Hivi punde zimetufikia habari kuwa FACEBOOK imepelekea mrembo mmoja wa anayesoma kozi ya ualimu SAUT kupotea katika mazingira ya kutatanisha.
stori iko hivi
kwa jinsi ilivyo ni kwamba dem huyo alikuwa na urafiki na mshikaji mmoja wa hivi wa kenya then wakaanzisha mahusiano ambapo ikabidi sasa mshikaji ajet MWANZA ili waonane na huyo...
MAMA EDOO AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI
May 28, 2012
Mama edo amefiwa na baba yake mzazi ambapo marehemu ameacha wajane wanne ,watoto 20 na wajukuu lukuki
kamera yetu iliweza kupenyeza had wakati mama akisubiri muda ufike wa kwenda ukerewe mazishini
na hawa ni baadhi ya watoto wa mama edy
hawa ni waju
...
ujenzi wa nguvy waendelea bugando
May 28, 2012
Ikiwa ni zaidi ya miaka 12 tangu chu kikuu bugando kianzishe hivi sasa chuo hiki kimeanza upanuzi wa chuo hicho na hapa ni ujenzi wa majengo yatakayotumika kama madarasa na library
...
Subscribe to:
Posts (Atom)