Ni miaka mitano toka uhusiano wa kimapenzi wa Lil Wyne na Trina ufe, lakini kwenye party ya mwimbaji Monica at Club Liv huko Miami Marekani weekend iliyopita, Lil Wayne alichukua mic na kuonyesha upendo wake kwa Trina. Kwa mujibu wa gossiponthis, alipokua kwenye stage na Mchekeshaji Kevin Hart mbele ya umati, Weezy alimwambia mpenzi wake wa zamani (Trina) kwamba amemmis, ambapo alisema nataka kusema kama Trina yuko hapa, Nakupenda na nimekumis baada ya hapo kila mtu akawa na swali lililokosa jibu |
>LIL WYNE ASHINDWA KUJIZUIA KUHUSU TRINA MBELE YA UMATI
May 17, 2012
kwa hisani
CUHAS BUGANDO
at
21:18


- Two clicks for more privacy: The Facebook Like button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Facebook – see i.not connected to Facebook
- Two clicks for more privacy: The Google+ button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Google – see i.not connected to Google+
- Two clicks for more privacy: The Tweet this button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Twitter – see i.not connected to Twitter