![]() |
Ikiwa ni kawaida ya ule usemi wa kula matunda uliyoyapanda sasa CUHAS -BUGANDO imeendelea kula matunda na zamu hii inakuletea chief mwingine kwa wale wanao fanya rotation katika kitengo cha OPS &GYN sasa watakuwa na MUJUNI kama chief wao,nimeongea na chief huyo na kuamplfy kuwa kwa sasa yuko hapa BUGANDO.in short chief ni miongoni mwa BUGANDO PRODUCT |
CHIEF MUJUNI NDANI YA CUHAS -BUGANDO
May 17, 2012
kwa hisani
CUHAS BUGANDO
at
16:24


- Two clicks for more privacy: The Facebook Like button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Facebook – see i.not connected to Facebook
- Two clicks for more privacy: The Google+ button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Google – see i.not connected to Google+
- Two clicks for more privacy: The Tweet this button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Twitter – see i.not connected to Twitter