![]() |
Hii imetokea hapahapa Dar es salaam jana asubuhi njemba imekutwa ikimuingilia bata mzinga mpaka akafa.Alimtoa bata kwenye banda na kuingia nae chumbani kwake na kumfanya hicho alichomfanya.Hapa hali ilikuwa imeshatulia shwari mida ya saa saba ila asubuhi mitaa hii ilikuwa imefunga watu wamejaa kushangaa tukio hilo.Bata huyo ni wa famili yake na jamaa aliweza kupiga bao zake tatu duuuuh.Alipokutwa hakukataa alielezea kila kitu kuwa alikuwa kazidiwa.Wananchi walimbeba mzobemzobe na kumpeleka kituo cha polisi sasa hapo siji mshitaki atakuwa nani??!!
Ndio hivyo watu husema dunia ina mambo lakini si kweli binadamu ndio wana mambo!! picha kwa hisani ya Gea Habib! |
MAKUBWA TENA NJEMBA YAMUINGILIA BATA MZINGA NA KUMUUA
May 16, 2012
kwa hisani
CUHAS BUGANDO
at
04:53


- Two clicks for more privacy: The Facebook Like button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Facebook – see i.not connected to Facebook
- Two clicks for more privacy: The Google+ button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Google – see i.not connected to Google+
- Two clicks for more privacy: The Tweet this button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Twitter – see i.not connected to Twitter