![]() |
Blog yetu inapenda kumtakia hapy birhday mdau hassan kwa kutimiza miaka kadhaa hapa katika sayari ya tatu tunamtakia maisha marefu na yenye baraka tele![]() Pia tunachukua fursa hii kumtakia happy birthday first born wa issack (picha ipo chini hapa MD5) ambaye naye kafikisha miaka kadhaa tunamtakia maisha marefu yere baraka tele ![]() father of the son (issack) |