Sisi kama wanablogger wa BUGANDO BLOG tunaomba radhi kwa wanabugando wote kutokana na taarifa ambazo zilikuwa zikichapishwa na mtandao huu wa kijamii kuhusiana na watu binafsi.tunakiri makosa na kusema kuwa katika kila kazi yeyote kuteleza hutokea na hivyo,tunaahidi taarifa binafsi zihusuzo mtu binafsi hazitapata nafasi katika blog hii,hivyo kwa yeyote ambaye labda kwa namna moja au nyingine tulikwazana tunaomba tusameheane na tunawahidi vitu vizuri na vingi,kwa niaba ya Blog administrator nitoe shukrani zangu zote kwa wadau waliotupigia sim na kutoa maoni yao pia watu bmbalimbali kwa muda wao waliojitahidi kutoa ushauri wao moja kwa moja pindi tulipoonana nao.tuendeleze libeneke wadau
BUGANDO BLOG TUNAOMBA RADHI KWA WANA BUGANDO
May 24, 2012
kwa hisani
CUHAS BUGANDO
at
16:16


- Two clicks for more privacy: The Facebook Like button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Facebook – see i.not connected to Facebook
- Two clicks for more privacy: The Google+ button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Google – see i.not connected to Google+
- Two clicks for more privacy: The Tweet this button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Twitter – see i.not connected to Twitter