Pages

BEI ZA KAFUA NGUO KUPANDA HIVI KARIBUNI

Apr 12, 2012
Ikiwa ni kawaida ya wanafunzi wa chuo kikuu bugando kuwapa wafuaji nguo,gharama za ufuaji nguo zinatarajia kupanda hivi karibuni kutokana na kile kinachosemekana kuwa mwekezaji ambaye atakuja kuwekeza katika sekta hiyo kuanza kutumia mashine (washing ,mashine) gharama zitapanda kama ifuatavyo
kufua nguo za kawaida 200
blanket 1000
karpet 2000.
swali kuna sababu yeyote ya kuwaondoa wafuaji waliopo ambao wengi wao ni wanawake  wajasiriamali .ambapo kutokana na shughuli hiyo hujipatia kipato ambacho huwawezesha kuendeleza maisha yao ya kila siku?na kuna umuhimu gani wa gharama hizo kupanda bila kuwahusisha wadau wenyewe ambao ni wanafunzi?