Pages

Apr 4, 2012
KATIKA KUOMBOLEZA KIFO  KANUMBA WASANIII WAFURIKA HUKU WWENGINE WAKIWA NA MAJONZI YASIYO NA KIFANI
WASANII WAKIHOJIWA KUHUSU MSIBA HUU



                                            Hii ndo nyuma aliyo kuwa akiishi kanumba


                            Umati wa watu warika zote waliofunga barabara walio fika kwenye msiba wa kanumba.


TAARIFA NILIZOZIPATA MPAKA SASA KUHUSU KIFO CHA MWIGIZAJI STEVEN KANUMBA.


Taarifa nilizozipata sasa hivi kutoka kwa mwigizaji Dino, ni kwamba kweli mwigizaji STEVEN KANUMBA amefariki dunia na inaaminika chanzo cha kifo chake ni baada ya kuanguka na kuanza kutoa mapovu hapohapo nyumbani kwake, alikua akiishi na mdogo wake anaitwa Fetty aliekua chumba kingine ambae amethibitisha kweli kwamba alimkuta kaka yake akiwa ameanguka.
Polisi wameondoka nyumbani kwa Kanumba muda mfupi uliopita baada ya kuwachukua waliokua wanaishi na Kanumba akiwemo mdogo wake Fetty ili kwenda kusaidia maelezo ya kilichotokea.
Bado watu wanazidi kuongezeka nyumbani kwa Kanumba ambapo tayari idadi kubwa ya wasanii wenzake wamefuka pamoja na watu mbalimbali,  BUGANDO BLOG  itaendelea kukufahamisha kinachoendelea kadri taarifa zitakavyozidi kupatikana.
Ila kumekua na taarifa nyingine ambazo hazijathibitishwa kwamba Kanumba alianguka na kuumia kichwani baada ya mpenzi wake ambae anatajwa kuwa ni mwigizaji LULU kumsukuma na kuanguka wakati wanagombana.
‘Inasemekana’ Kanumba wakati akijiandaa kutoka saa sita usiku aliingia bafuni kuoga, alipotoka alimkuta Lulu akiongea na mwanaume mwingine kwenye simu ndipo alipokasirika na ugomvi kuanza.
Alipelekwa hospitali Muhimbili ambako muda mfupi baadae alifariki dunia, mwili wake bado uko katika chumba cha kuhifadhia maiti Muhimbili hospital.
Hapo chini ni baadhi ya kauli nilizokutana nazo kwenye facebook wakati huu na chini yake ni maneno ya mwisho STEVEN KANUMBA kuyaandika kwenye kurasa zake za facebook na twitter.




ALIYOYAANDIKA YA MWISHO MWISHO KWENYE PAGE ZAKE ZA FACEBOOK & TWITTER









.

.

.

Hii ndio ilikua tweet yake ya mwisho.

Cha mwisho alichokiandika facebook.
R.I.P KANUMBA THE GREAT.





Lipi ujinga zaidi?

a) Kujiita romantic wakati


uko single.


b) Kung'alisha viatu wakati


unaenda kupiga passport




size



c) Kukaa kiti cha mbele

karibu na dereva alafu


unamwambia konda


shusha.


d) Kumwamsha mgonjwa ili


umpe dawa ya usingizi. e) Kupigiwa simu alafu


unaangalia balance.


f) Kupunguza sauti ya redio


ili usome sms.



g) Kutafuta remote ya TV

kwa dkk 10 wakati TV ipo karibu yako



.