Pages

JINSI MSHIKAJI WA MD 2 ALIVYOPOTEA

Apr 24, 2012
Ikiwa ni kama wiki mbili na siku chache hivi tangu mwanafunzi wa udaktari mwaka wa pili bugando apotee leo hii imebainika kuwa alipotea katika hali ya mazingara ambapo imeskika ikisemwa kuwa kijana yupo salama salmin japo kuwa wataalam wako wanamfanyia marekebisho huko kijini kwao .
Blog hii itafanya interview exclusive na kaka mtu ili atupe whaappened