Pages

ZUMBA NITAGOMBEA TENA URAISI

Apr 24, 2012
Hayo yamesemwa na aliyekuwa mshindi wa pili katika kinyanganyiro cha kuwania urais wa chuo bugando kuwa mwaka huu atawania nafasi hiyo ya uraisi akiwa amejipanga zaidi .hayo yamesemwa na Zumba wakati alipo hojiana na Blog hii na kuongeza kuwa urasi anauhitaji na mwaka huu ataupata tu