Pages

TETESI

Apr 11, 2012
Zime zuka tetesi eti kuwa Mh Philipo atawania kiti cha uraisi wa chuo kikuu bugando kwa awamu ya pili.hayo yamesikika yakisemwa na wadau huku wakiomba majina yao yasitajwe .PHILIPO ni raisi wa kwanza hapa chuoni bugando kuleta maendeleo lukuki ikiwemo kuleta jenereta ya umeme wa dharura ambapo kwa takwimu tulizo nazo BUGANDO kitakuwa ndicho chuo kikuu cha kwanza kwa wanafunzi wake waishio hostel kuwa na umeme wa dharura pindi umeme wa tanesko ukiwa ukikatika