Pages

TAARIFA KWA WANACHUO WOTE WA BUGANDO

Apr 25, 2012




Imesemwa na Dean of student Bugando kuwa katika mwaka wa masomo wa 2012 na 2013 mamb yanaweza kubadilika hususani katika masuala ya Ada na hii ni kutokana na wadhamini kutoa mchando (donatin)kiduchu kwa wanafunzi hivyo kungeza mzigo kwa wanafunzi.Dean ameongeza kwa kusema kuwa direct cost zitaweza kupanda japo haijajulikana ni kwa fist applicant au hata continuing students.na kuhusu suala la wireless internet amesema kuwa fedha zinasubiriwa kutoka kwa mkuu wa chuo ili kuanza mradi huo mara moja
(The home of infotion)