Pages

LIVE UPDATES ZA MSIBA WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA KUTOKA VIWANJA WA LEADERS DAR

Apr 10, 2012


 eneza lililobeba mwili wa Marehemu limewasili.Watu wanalia kwa uchungu sana.Wengi wanagombania kuligusa
 Kwa mbele

 Umati wa watu uwanjani hapo

Ni simanzi na majonzi
 Msalaba Mwekundu wakiwa stand by na pia msaada unahitajika
Watu wameisha anza kuzima na msalaba mwekundu umeanza kazi yao
Watu wengi wanazidiwa na kuzimia.Jamaa wa Red Cross wanajitahidi kadiri wanavyoweza.They are doing an amazing job
Ni majonzi 
 Mgeni Rasmi Mama Salma alipowasili msibani na waombolezaji wengine
 Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbiliyini alipowasili viwanjani hapo


 Mheshimiwa Joseph Mbilinyi akiongea na wanahabari
 Nnape Nnauye akiongea na wanahabari juu ya msiba huu
 Umati wa watu
 Millard Ayo & Ephraim Kibonde ndo wanedesha shughuli
Huyu ni kibaka akiwa amenaswa hapo msibani


chanzo ni http://www.jestina-george.com