Pages

HONGERA DAMIAN SHIGONGO NA SADICK WOTE MD2

Apr 24, 2012
Siku hizi imekuwa ngum kwa masela kuoa au madem kuolewa lakini hali hii imetupwa kule na wadau damian shigongo na Sadiki baada ya kuamua kutupa kule ukapela na kuvuta vyombo(wake )nimeongea nao katika wakati tofauti tofauti wamesema kuwa vijana wengi wamekuwa wakipumzikiana lakini kwao wao wameona ni bora waidhinishw na manani aliye juu ili kitu kiwe ni leser to leser baada ya kudhibitishwa kitaalam