Pages

NI SEMINA KUHUSU MAUSIANO

Apr 25, 2012
SEMINA YA MAHUSIANO ITAFANYIKA KATIKA HOTEL YA MIDLAND SIKU YA JUMAMOSI NA JUMAPILI TAREHE 28 NA 29 APRIL.


INAWAHUSU WALIO KATIKA NDOA,VIJANA KWA UJUMLA NA WASIO KATIKA UHUSIANO 
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA 


Makuru kama uko Bugando contAact 0716442444


Grace kama uko SAUT mwanza contact 0766462439


Warda juma kama uko CBE mwanza contact 0655178281


MUDA SAA 4 ASUBUHI HADI SAA 12 JIONI


NYOTE MNAKARIBISHWA