
MAMA wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa ametoa baraka zake kwa mwigizaji chipukizi, Philemon Lutwaza ‘Uncle D’ ambaye anatarajia kuigiza katika filamu ya After Death ambayo ni maalum kwa kumuenzi marehemu mwanaye, Imelda Mtema anashuka nayo.
Akizungumza na paparazi wetu juzikati, mama Kanumba ameweka plain kuwa ameridhishwa na...
Read more ...