Pages

ISHU YA PRE ZOO KUJITOA BIG BROTHER

Jun 15, 2012

Ishu ambayo imewashangaza wengi ni pale ambapo mwakilishi 
wa Kenya
 kwenye jumba la Big Brother CMB Prezzo kutangaza kwamba
 amechoka maisha ya kuishi
 kama mfungwa kwenye 
jumba hilo.
Mtandao wa Ghafla Kenya umeripoti kwamba hii ishu imetokea wakati Big Brother 
alipotangaza kupiga 
marufuku pombe kwa washiriki ndani ya jumba hilo,
 Prezzo alishikwa hasira na kusema kwamba anaweza kuondoka muda 
wowote, na anahisi wakati umefika.
Prezzo alimaind mpaka akawa anabishana na washiriki wenzake 
akiwemo Keita na kutaka mlango 
ufunguliwe aondoke lakini baadhi ya
 washiriki wenzake walimsihi asifanye hivyo.
Huu mchongo umetokea siku 30 baada ya Prezzo kuwa trending topic kwa wakenya kutokana na 
kuchaguliwa kwake kwenda big brother ambapo wengi walikua
 wanamdiss kwamba haikutakiwa apelekwe BBA ambapo Nakumbuka 
Naziz wa Necessary Noise ambae ni mshkaji wa Prezzo alikaa na mimi studio siku 31 
zilizopita na kuamplfy kwamba wengi wamemkosoa lakini ni kwa sababu hawamjui Prezzo vizur
Si
 
      STORI IMETOKA KWA MILLARDAYO.COM