Pages

UZEMBE WA MADEREVA NA UTENDAJI KAZI MBOVU WA TAA ZA KUONGOZEA MAGARI CHANZO CHA AJALI NYINGI JIJINI DAR

Jun 6, 2012

Ajali hii imetokea alfajir ya leo kwenye makutano ya barabara ya mandela road na kilwa road ilihusisha malori mawili kwenye taa za kuongozea magari uhasibu ambapo mashuhuda walisema lori la kampuni ya Azam halipo pichani, lilishika breki ghafla katikati ya taa za kuongozea na kupisha gari ndogo iliyokuwa ikitokea jitegemee kwenda sabasaba,dereva wa lori alishindwa kulidhibiti wakati akijaribu kulikwepa lori la Azam na kuishia kugonga nguzo ya Taa na kuanguka ,dereva alivunjika miguu yote miwili na kukimbizwa hospitalini



          chanzo ni michuziblog