Pages

MKENYA AMLA NYAMA MGHANA

Jun 2, 2012
Ni binadamu ni mnyama? Utasemehewa ukiuliza swali hili. Kwani wengi wameachwa mdomo wazi, katika jimbo la maryland, marekani baada ya mkenya mmoja kumuua mwezake kutoka ghana na kisha kula viungo vyake. Alexander kinyua mwenye umri wa miaka 21, amekiri kumuua mwenzake waliokua wakiishi naye pamoja ambaye aliripotiwa kutoweka ijumaa iliopita. Kinyua mwanafunzi wa chuo kikuu cha morgan alitekeleza mauaji hayo kisha kula ubongo na moyo wa raia huyo wa ghana. Alexander ambaye alifikishwa mahakamani jana,anakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya kukusudia.


                                      Kwa taarifa zaidi skiliza habari hiyo hapo chini kutoka KTN