Pages

PRODUCER C- 9 ASEMA LINEX AMEONGOZA KWA KUMZINGUA

Jun 1, 2012
Producer wa hits kadhaa za bongo kama Mama ntilie na ni Wewe ya Amini, pamoja na umaarufu wake kuzidi kukua every day, amesema kuna vikwazo anavyovipata kwenye kazi hasa kutoka kwa baadhi ya wasanii.C 9 amemtaja mwimbaji Linex kwamba ndio msanii namba moja alie msumbua na kumkwaza.Amesema wasanii wengi ambao wanazingua lakini binafsi naweza kumzungumzia mtu kama Linex kwa sababu imeniumiza kidogo, nakumbuka tulifanya nae bure ngoma ya Ngekewa na baadae tukafanya ngoma yake nyingine na Diamond for free lakini baadae alikuja kufanya ngoma nyingine ambayo alikwenda kuirudia sehemu nyingine, kabla ya hapo tulimwambia alipie hiyo ya mwisho ili kuchangia gharama za studio kidogo ndio akakimbia Kwenye line nyingine C-9 amesema “baada ya kumwambia hivyo alikimbia ndio tukaja kusikia  amekwenda kuirudia na kuifanyia video sehemu nyingine, hajafanya kitu kizuri kwa sababu kama angetaka kurudia angeniambia tu, alafu sababu nyingine inayomfanya Linex asirudi tena Kiri Records ni yeye kupoteza simu yangu ambayo kila nikimdai anaanza kuwaka Ohhh mbona 
tunasumbuana mwanagu simu tu unataka tukosane? hivyo ndio anavyosema

            linex