Pages

Mkuu wa mkoa wa Tabora Mh Fatma Mwassa azindua rasmi Tamasha la Mtemi Milambo

Jun 2, 2012

Tamasha la kila mwaka la Mtemi Milambo limezinduliwa leo tarehe 1/6/2012 ;mkoani Tabora >mbapo Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Fatma Mwassa katoa wito kwa wananchi kuuenzi utamaduni wao kwani msahau kwao ni mtumwa