Pages

KAMPEINI ZA KUGOMBEA URAISI WA CHUO KIKUU BUGANDO WAENDELA KWA KASI

Jun 11, 2012
Leo hii imeshuhudiwa wagombea mbalimbali wa uraisi wa chuo kikuu bugando wakuipita huku na kule kupiga kampeini ambapo kwa leo Bw Philipo ameanzia mwaka wa kwanza huku Bw Ndobandola akianzia wanafunzi wa maabara.sera za wagombea ziliskilizwa japo katika kampeini za Bw ndoba ndola kulijitokeza nderemo na vifijo vya hapa na pale ,hii ilionekana pale ambapo mgombea aliingia  darasa la maabara na kupokelewa  kwa nderemo na vifijo na kuimbiwa nyimbo za umoja