Pages

>Matilda Martin ndie Redd's Miss Dar City Center 2012

Jun 15, 2012
http://2.bp.blogspot.com/-OPW2vIMUooE/T9vFNM7U3bI/AAAAAAAC5x0/kfL-BUhC9DE/s1600/29.jpg


Redd's  Miss Dar City Center 2012,Matilda Martin (katikati)
 akiwa na mshindi wa  pili wa taji hilo,Magdalena Munisi (kushoto) na Mshindi wa tatu,Witness 
Michael muda mfupi baada ya kutangazwa kwa washindi hawa katika  shindano lililomalizika usiku huu kwenye ukumbi wa hoteli ya Golden  Tulip,Jijini Dar es Salaam.
http://1.bp.blogspot.com/-uR1suxIm63o/T9vFQN0inDI/AAAAAAAC5x8/ZXMrVw-PGxo/s1600/30.jpg

Washiriki  waliotinga tano Bora ambao wote wanaenda moja kwa moja kujiunga na  
wenzao kwenye mashindano ya kanda ya Ilala,jijini Dar.