Pages

TAIFA STARS YAWASILI SALAMA MSUMBIJI

Jun 15, 2012



Taifa Stars imewasili Maputo saa 5 asubuhi kwa saa hapa tayari kwa mechi
 dhidi ya Msumbiji (The Mambas) na kupokewa Uwanja wa Ndege wa
 Kimataifa wa Maputo na Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji, Balozi Nyandugu


http://kandanda.galacha.com/wp-content/uploads/2012/06/Taifa-stars-Ivory.jpg