Maandamano yalianzia katika kanisa letu hadi katika hostel za wanafunzi na kurudi kanisani kumalizia misaa
itifaki ikizingatiwa
acheni watoto wadogo waje ,kwetu
pateno naye akiwa msitari wa mbele
kulikuwa na station 3 za kupumzika hii ni station ya kwanza
Audrey akiwaongoza na kuwaelekeza watoto katika msafara
anaa mayo naye alikuwepo
station ya pili katika mapumziko
felician chiku naye akiwa katika maandamano
na ndivyo iliyokuwa hivi
pumziko la tatu katika hostel
hakika kulikuwa kumesheheni
maandamano wakati wa kurudi
sabrina naye akifurahia