Pages

MATOKEO NA PICHAZ ZA MECHI ZA EURO 2012

Jun 21, 2012
Mchezaji Wyne Rooney ameifungia England goli pekee kwenye mechi ya Ukraine na kufanya wachukue nafasi ya kuongoza Kundi D na kuingia kwenye robo fainali 2012 watakapokutana na Italia.