Pages

Mbunge wa Jimbo la BAHI apandishwa kizimbani leo

Jun 4, 2012




MBUNGE wa Jimbo la Bahi (CCM), Omary Ahmed Badwel (43) leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa makosa ya rushwa ya shilingi Milioni moja toka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga,Jonathan Liana.