Pages

BREAKING NEWZZZZ AJALI MBAYA YA BOTI YA MV SKAGET KUZAMA IKIENDA ZANZIBAR

Jul 18, 2012
 
 Habari za hivi punde ni Meli ya Skageti ikiwa na abiria 200 imezama katika kisiwa cha Chumbe. Jitihada za uokoaji zinaendelea.

Tutazidi kuwaletea habari kadri tunavyo zipokea.