Pages

WEMA SEPETU ADAI KUWA MAMA YAKE AMEMTIA AIBU

Jul 2, 2012
Add caption



Wema Isaac Sepetu na mama yake, Mariam Sepetu hawapo vizuri tangu yale mahojiano aliyoyafanya mzazi wake huyo runingani wiki mbili zilizopita akiwachana marafiki wa staa huyo mkubwa wa picha za Kibongo Akizungumza na mtandao wa Global publisher katika mahojiano maalum juzi Alhamisi , Wema alisema kuwa hawezi kusahau siku mama yake alipofanya ‘intavyu’ kwani aliposikia anaaza kutiririka ilibidi...