Pages

FLORENCE MWITA KUHUDHURIA SEMINA YA TAMSA MALAYSIA

Jul 18, 2012

Katika mchakato uliokuwepo wa kuomba ili kupata scholaship ya kuhudhuria semina huko malaysia mwishoni mwa mwaka huu FLORENCE MWITA ameibuka na kuchaguliwa kuwa mwakilishi kutoka CUHAS BUGANDO na kupeperusha bendera ya tanzania yeye pamoja na wanafunzi wengine kutoka vyuo mbalimbali hapa tanzania,hivi punde tutafanya interview ya video atueleze siri ya mafanikio hayo .
hongera sana FLORENCE