Pages

SKILIZA NA DOWNLOAD KILE ALICHOKISEMA FLORENCE MWITA KUHUSU SIRI YA MAFANIKIO YA KUWEZA KUWA MWAKILISHI WA TANZANIA HUKO MALAYSIA

Jul 21, 2012

Na huyu ndiye florence mwita ambaye nimefanya naye exclusive interview kuhusu lile dili alilolipata la kuibuka kidedea kati ya watu 6000 na kuweza kuwa mwakilishi atakaye peperush bendera ya tanzania kwa lebel ya TAMSA BUGANDO hapo chini iskilize interview hiyo au idownload inahusu ishu kibao ambazo nimeongea naye na kunieleza kwa kina