Pages

FOLENI HATA KUCHUKUA NAMBA ZA MTIHANI:

Jul 20, 2012
Na hii ni foleni niliyo kutana nayo katika pita pita zangu hapa chuoni Bugando ambapo zaidi ya wanafunzi 500 wanaosoma kada mbalimbali hapa chuoni wataanza mitihani yao jumatatu
bugando blog tunawatakia kila la kheri wadau wote katika mitihani yao