Pages

UKWATA BUGANDO WAZINDUA VIDEO YAO NA AUDIO KATIKA VIWANJA VYA HOSTEL ZA BUGANDO

Jul 1, 2012
                             Hili ni jukuwaa lililokuwa limeandaliwa kwa ajili ya kazi
                                              kwaya AICC BUGANDO nao walikuwepo wakionyesha kumsifu na kumtukuza Mungu
                                     hapa ni pale ambapo wazinduzi wa kwaya walikuwa wakiingia jukwaani

                                 wakionesha mambo yao
             wanakwaya wakionesha mambo yao na kushangiliwa na umati wa watu waliohudhuria
                                    weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
         chezea ukwata weweeeeeeee