Pages

ISIKILIZE HAPA SINGLE MPYA YA D BANJ, NA HUYU NDIO PRODUCER WAKE MPYA BAADA YA KUTEMANA NA DON JAZZY.

Jul 16, 2012
 
 Toka ameanza muziki mpaka sasa amefikia mauzo ya album ya kopi milioni 12 according to Q Magazine, Mafanikio yake pamoja na umaarufu vimeongezeka baada ya kutoka na single ya kwanza toka jiunge na lebo ya Good Music ya rapper Kanye West, sasa amedondosha single ya pili inaitwa OYATO… ni bure kuisikiliza hapo chini.….