Pages

Wajanja Wa Tanga! leo wamelisanukisha

Jul 15, 2012

Wajanja wa Tanga! Mkwakwani ilijaa wajanja tuu! Hii ni kwenye bonge la show ya Kijanja kutoka Vodacom!


Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Mabeste akiwapagawisha wakazi wa jijini Tanga katika Tamasha la Wajanja wa Vodacom kwenye uwanja wa Mkwakwani mjini hapa.

Baadhi ya wakazi wa jijini Tanga wameanza kumiminika kushuhudia Tamasha lenye hadhi ya Kimataifa la Wajanja wa Vodacom Tanzania,hawataki kuja kusimliwa kuwa Joh Makini,Fid Q,Diamond,Shetta,Mabeste,Nay Wamitego,Ommy Dimpoz kuwa walipanda kwenye jukwaa la Wajanja ndani ya TA.