Pages

MKUTANO WA MOSES KULOLA WAMALIZIKA KWA KISHINDO MWANZA

Jul 17, 2012

Jerusalem Band ni moja kati ya makundi yaliyosisimua umati uliofurika kutokana na uimbaji na nyimbo zake kukubalika kwa watu wa kila rika.

Mama Mutashi wa Jerusalem Band akiimba kwa hisia ndani ya kusanyiko hilo la kusisimua uwanja wa Furahisha jijini Mwanza jana jumapili.

Moja kati ya vivutio walikuwa hawa Askari wa Yesu wakiwa Patrol uwanja wa Furahisha jijini Mwanza.

Kwaya ya EAGT Msumbiji.

EAGT Jordan kwaya kutoka Pasiansi Mwanza.

Halaiki ya watu waliojitokeza kupokea ujumbe wa Mungu.

EAGT Mkudi kwaya kutoka Mwanza.

EAGT Kanaan kwaya kutoka Nyakato Mwanza.

EAGT Msumbiji wakiwajibika


Askari wa Yesu wakiwa Patrol uwanja wa Furahisha jijini Mwanza.

Askofu Moses kulola (wanne kutoka kushoto) akiwa na maaskofu, wachungaji wa Kanisa la EAGT Mwanza na watumishi wa makanisa mbalimbali wakiwa wameketi katika jukwaa kuu.

Meza hii ya mama huyu viliuzwa vitabu vya Injili yaani Biblia, Tenzi za Rohoni na vitabu vingine vilivyo katika lugha ya kisukuma.

Cd na Dvd za Uimbaji zilipatikana katika meza hii.