Pages

TAHARUKI YA WAKAZI WA DARES-SALAAM WAKIWA BANDARINI KUSHUHUDIA KINACHOENDELEA

Jul 18, 2012


Hapa ni maeneo ya bandari ambapo mwandishi wa BUGANDO BLOG amefika na kujionea hali halisi watu wakiwa wamepigwa butwaa na kilichotokea  cha ajali ya Boti upande wa pili boti za watu binafsi zimeonekana zikiwekwa mafuta na kuelekea eneo na tukio ambapo ni safari ya takribani masaa 2 kufika meli ilipozama

habari zaidi na picha za ajali tutakuletea hivi punde......