Pages

HIZI NDIO NYUMBA WANAZOMILIKI WASANII BEBE COOL, JOSE CHAMELEONE NA BOBBY WINE WA UGANDA.

Jul 16, 2012
Hii ni nyumba ya BOBBY WINE na hili ni moja kati ya magari yake
 
Haya ni magari ya Bebe Cool.
Hii ni nyumba nyingine anayomiliki msanii Bobi Wine.
Hii ni moja ya nyumba zinazomilikiwa na Jose Chemeleone.
Hii ni nyumba ya Bebe Cool ambayo ameshindwa kuimalizia toka aanze kuijenga miaka mitatu iliyopita, Bobi Wine amewahi kukaririwa akisema Bebe Cool anashindwa kuendelea kimaisha kwa sababu ya mke wake Zuena ambae anampasua kichwa.
Hii ni nyumba nyingine ya Bebe Cool.
Kama hukuipata hii stori ya longtime kidogo ni kwamba According to Uganda Picks, Bebe Cool anashindwa kuwa na majumba ya kifahari kama wengine kwa sababu ya mke wake Zuena ambae amekua na matumizi makubwa, pia Bebe anamjengea mama yake Zuena jumba la kifahari linalogharimu mkwanja mrefu.
Pamoja na hayo yote bado Bebe Cool anatajwa kuwa mmoja kati ya wasanii wanaolipwa hela nyingi sana kwenye show kwani Uganda show zake anachukua zaidi ya milioni na pia kila mwaka huwa anaandaa East African Carnival every Easter Monday na ‘Tondeka e Kiwatule’ on Boxing day zinazomlipa pesa ndefu pia.
Jose Chameleone na wife wake.