Pages

AKATWA NYETI ZAKE KWA KUKUTWA NA MKE WA MTU

Nov 23, 2012
MKASA huu wa kusikitisha umetokea huko nchini NIGERIA ambapo bwana mmoja aliyetambulika kwa jinamoja tu  la Gwara pale alipomfanyia umafia rafiki yake wa karibu bwana Brian Munemokwa kosa la kuzini na MKE wake. Mwandisi wetu akitupasha kuhusiana na mkasa huo mzito anadai kuwa bwana Brian Munemo ambaye ni rafiki wa Gwara  hapo..