Pages

MAHAFALI YA 3 KUTOKA UDOM YALIKUWA HIVI....

Nov 23, 2012
 

 Kutoka Kushoto Ni Josephat Lukaza Mmiliki wa Lukaza Blog akifuatiwa na Emmanuel Mwakibinga na Patrick Kapachino Kapongwa katika Picha ya Pamoja Kabla ya Sherehe za mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Kuanza katika Viwanja Vya Chimwaga leo
 
Wahitimu wakiwa katika shamrashamra za huku na kule katika Kuchuku taswira za ukumbusho katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yanayofanyika katika viwanja vya chimwaga vilivyopo Chuoni hapo
Wahitimu wakiwa Katika Harakati za hapa na pale katika mahafali ya tatu ya chuo kikuu cha Dodoma yanayofanyika katika Viwanja Vya Chiwaga Vilivyopo Chuoni hapo leo. Tutaendelea Kuwarushia Matukio Zaidi ya Mahafali ya Tatu Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma. 
SOURCE LUKAZA BLOG