KATIKA hali ya kawaida kabisa tendo la zinaa imezoeleka kabisa kuwa ni lazima liwe na mazingira fulani ambapo mara nyingi wahusika wamekuwa wakijifiha au kutaka FARAGHA ili wafanye tendo hilo kwa UTULIVU!
Lakini katika hali isiyo ya kawaida kabisa CAMERA yetu yaGUMZO LA JIJI iliwanasa wapenzi wawili ambao walinaswa wakifanya TENDO hilo la aibu kati kati ya jiji kwenye BAR moja ambayo si marufu sana.
Pombe hiyo ni pombe gani jamani mpaka ikufanye ewe kiumbe cha mwenyezi mungu kufanya upuuzi ama kuanika maungo yako mbele za jamii namna hii?
Taswira hii imeleta mshangao mkubwa miongoni mwa watu ambapo mambo mengi yakiwemo MAADILI kuporomoka yametajwa kuwa sababu kuu ya matukio ya ajabu kama haya!!
Tena nadhani tunataka sasa kushindana na ile LAANA yaSODOMA na GOMORA!!
BLOG HII INAAHIDI KUWALETEA NA KUFICHUA MAOVU MBALI MBALI YANAYOTOKEA KATIKA JAMII ZETU HIVI SASA!!