Pages

MUSA MDEDE(mbunge-MD3) AUNGURUMA BUNGENI BUGANDO.

Nov 26, 2012
Photo: Natoa taarifa ya kamati ya kuduma ya bunge ya mikataba,uwekezaji na ujenzi ambayo mimi ndiyo mwenyekiti wake katika Bunge la serikali ya wanafunzi chuoni CUHASS-Bugando,siku ya jumamosi iliyopita tarehe 24 november 2012
Musa mdede mbunge wa MD3 BUGANDO ameunguruma hapo jana bungeni na kusistiza juu ya umoja na mshikamano baina ya wanafunzi wa bugando