Pages

BANZA NAE AANZA MBWEMBWE

Nov 15, 2012

"Siku hizi dunia imebadilika sana yani nimeshasahau hata jinsi ya kutongoza"Hii ni kauli ya Mwanamziki Nguri wa Bendi ya Extra Bongo,Ramadhani Masanja a.k.a Banza Stone ambaye alijinadi kuwa amekuwa akipata kero kutokana na kutongozwa na idadi kubwa ya wanawake.