Pages

MAADILI SIFURI (0) KWA MADENTI MASHULENI

Nov 23, 2012








Dunia  imebadilika  sana.Umewahi  kujiuliza ni  kwa nini  mtoto  wa form two  hawezi  kukusalimia  SHIKAMOO?? na badala yake atakwambia"MAMBO..!!!"????.......
Akupe  shikamo ya nini na wakati na yeye anajiona   mkubwa ? Maana yangu ni kuwa hakuna  asilolijua. Kama ni KISS anaijua, kama  ni MAPENZI anajua.hahahahhahah...!!!
Picha Za Wanafunzi wakifanya VituAjabu sasa zimesambaa kute Mtandaoni...Sujui Tunaenda Wapi sasa loooooo