Pages

PICHA 16 KUTOKA MAKABURINI KINONDONI KTK MAZISHI YA BIG JOHN

Nov 28, 2012
HIZI ni picha 16 miongoni mwa picha nyingi zinazoonyesha jinsi mazishi ya John Stephano Maganga yalivyofanyika leo mchana kwenye makaburi ya Kinonndoni.

Katika picha hizi utashuhudia matukio tofauti na namna watu walivyosindikiza John Maganga, wengine wakionekana kweli msiba umewafika, wengine kama wako kijiweni na wengine kama wako kwenye sherehe fulani. Zitazame kwa makini labda na wewe utagundua kitu fulani.