Pages

MTOTO ALIYECHOMWA MOTO NA KULAZIMISHWA KULA KINYESI SASA AKATWA MKONO

Nov 16, 2012



Huyu ndio mtoto anayefahamika kwa jina la Aneth ambaye alifanyiwa ukatili na Mama yake Mdogo kwa kuchomwa moto.



Bahati Rukangara.

Tukio hili limetokea eneo la Majengo Jijini Mbeya ambapo Bahati Rukangara Mama mdogo  wa Aneth inasemekana alikuwa anampa manyanyaso na mateso mtoto huyu mdogo ambaye kwa hali ya kawaida hana uwezo wa kutetea katika mateso hayo, cha ajabu mtoto huyu baada ya kuchomwa moto amekuwa akifungiwa ndani na kulazimishwa kula kinyesi cha mama yake huyo mdogo.