Pages

TAARIFA:KWA WALE AMBAO KWA SABABU BALIMBALI HAWAKUWEZA KUFIKA KATIKA MSIBA WA MWENZETU kwa kufiwa na baba mzazi BUGANDO BLOG TUTAKULETEA MTIRIRIKO WA KILA KITU KILICHOTOKEA HII LEO SAA 3 USIKU

Nov 2, 2012


Bugando blog media tunatoa pole kwa wafiwa wote ,ndugu ,jamaa na marafiki juu ya msiba wa mwenzetu nyamizi kwa kufiwa na baba yake mzazi mungu ampe roho ya ushupavu na ukakamavu katika kipindi hiki kigumu,
Bwana ametoa na bwana ametwaa