Pages

TASWIRA ZA MAHAFALI YA TATU YA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) YALIYOFANYIKA TAREHE 23 NOVEMBER 2012 NDANI YA UDOM

Nov 24, 2012

  Naibu Makamu Wa Mipango, Utawala na Fedha wa Chuo Kikiku cha Dodoma  Prof. Shaaban A.K. Mlacha akiongoza maandamano ya elimu Katika Sherehe za Mahafali ya Tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yaliyofanyika tarehe 22 Novemba 2012 Huku akifuatiwa na Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Bw Benjamin Mkapa
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Prof Idris Kikula akisoma hotuba mbele ya Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa (Hayupo Pichani) katika mahafali ya tatu yaliyofanyika tarehe 22 Novemba 2012

Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa akimtunuku Mhitimu wa Shahada ya Uzamivu Mmoja kati ya wahitimu wa tatu wa shahada ya juu kabisa ya Uzamivu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) yaliyofanyika tarehe 22 Novemba 2012.
  Naibu Makamu Wa Mipango, Utawala na Fedha wa Chuo Kikiku cha Dodoma  Prof. Shaaban A.K. Mlacha akiongoza maandamano ya elimu Katika Sherehe za Mahafali ya Tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yaliyofanyika tarehe 22 Novemba 2012 Huku akifuatiwa na Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Bw Benjamin Mkapa
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Prof Idris Kikula akisoma hotuba mbele ya Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa (Hayupo Pichani) katika mahafali ya tatu yaliyofanyika tarehe 22 Novemba 2012

Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa akimtunuku Mhitimu wa Shahada ya Uzamivu Mmoja kati ya wahitimu wa tatu wa shahada ya juu kabisa ya Uzamivu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) yaliyofanyika tarehe 22 Novemba 2012
Wahitimu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Wakiwa na nyuso za Furaha mara baada ya kutunukiwa shahada zao katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika tarehe 22 novemba 2012 katika viwanja vya Chimwaga vilivyopo Chuoni hapo
Mmiliki wa Lukaza Blog (Wa Pili Kushoto) akiwa katika picha ya kumbukumbu na baadhi ya wahitimu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika katika viwanja vya chimwaga tarehe 22 Novemba 2012

Baadhi ya Ndugu, Jamaa na Marafiki wa wahitimu waliohudhuria mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika tarehe 22 Novemba 2012 katika Viwanja Vya Chimwaga .
PICHA ZOTE NA JOSEPHAT LUKAZA WA LUKAZA BLOG
Wahitimu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Wakiwa na nyuso za Furaha mara baada ya kutunukiwa shahada zao katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika tarehe 22 novemba 2012 katika viwanja vya Chimwaga vilivyopo Chuoni hapo.
Mmiliki wa Lukaza Blog (Wa Pili Kushoto) akiwa katika picha ya kumbukumbu na baadhi ya wahitimu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika katika viwanja vya chimwaga tarehe 22 Novemba 2012.