Pages

mtu na wifi yake wanaswa wakijiuza...

Nov 25, 2012



UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni, sakata la mtu na wifi yake kunaswa wakifanya biashara ya ukahaba na kufikishwa mahakamani limewastajabisha wengi,

Sakata zima liko hivi, Jennipher Anthony (21) Mkazi wa Tabata jijini Dar pamoja na wifi yake Mgeni Tumaini (35) Machi 13, mwaka huu saa 9 usiku  walinaswa  na polisi maeneo ya Buguruni  Kwasokota jijini Dar wakiwa katika harakati za biashara yao ya ukahaba.