Pages

HALI YAZIDI KUWA MBAYA KUFUATIA VURUGU ZA MACHINGA NA ASKALI WA JIJI LA MWANZA

Nov 15, 2012
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema vurugu hizo zilianza baada ya Machinga mmoja kuzuiwa kupanga bidhaa katika eneo la Makoroboi mwanza na mtu ambaye anasemikana na mmiliki wa eneo hilo.